Thursday, March 3, 2016

Muundo mpya wa baraza la mawaziri kupunguza gharama za uendeshaji wa serikali


1 comment:

Anonymous said...

Hao wanaon'gang'ania kusema gharama za uendeshaji hazijapungua baada ya baraza la mawaziri kuwa dogo ni vifuu tundu kabisa yaani hamna kitu kichwani halafu tunaambiwa hao ni wabunge wanaowawakilisha wananchi. Utaona kabisa kama sikosei hata huo ubunge wameupata kwa njia za hadaa zidi ya wananchi. Kwanza kabisa hoja kuu hapa ni baraza la mawaziri sio baradha la makatibu wakuu. Pili kama baraza la mawaziri la Kikwete lilikuwa kubwa hata makatibu wakuu wake walikuwa wengi. Na kama baraza la mawaziri la Maghufuli ni dogo hapana shaka hata afanye vipi makatibu wakuu wake hawawezi kuwa wengi kuzidi ya wale wa kikwete. Gharama za uendeshaji wa serikali zimepungua tena sana . Tena sio kupungua kwa gharama tu,bali utaona serikali ya Magufuli inafanya vitu ambavyo kwa watanzania wengi ilikuwa ni kama ndoto. Na hii inatokana na ukweli ni kwamba licha ya serikali ya Magufuli kuwa na baraza dogo la mawaziri ufanisi wake wa kazi umekuwa mzuri na wa kasi ya ajabu. Kwa hivyo hapa utaona watanzania tumepiga ndege watatu kwa jiwe moja ni jambo la kujuvunia. Upinzani sio kupinga kila kitu hata kama ni cha ukweli. Na kama upizani wa Tanzania wanajaribu kuiga upizani wa siasa za Marekani kwa sasa yaani kwa siasa za www republican na democrat wataipeleka Tanzania pabaya. Republicans wamepinga karibu kila kitu cha maendeleo ya nchi yaliopendekezwa na Obama na kama republican wangempa Obama ushirikiano mzuri Marekani pangekuwa mahala pazuri kwa kuishi duniani zaidi ya ilivyo sasa. Mungu bariki zambi siku zote huzaa zambi usipo tubu. Ukiwaangalia republican sasa hivi ndani ya chama chao wanararuwana wenyewe kwa wenyewe hali ni tete sana kwani baada ya kutumia miaka zaidi ya minane kumpiga vita Obama ili afeli na wao waje kushinda uchaguzi kiulaini sasa kuna hatari hata ya hicho chama chao kukatika vipande vipande hizo zote ni zambi. Kwa hivyo tunawaomba wale watu wa upizani kule nyumbani wazidishe kasi ya upizani kwa serikali lakini katika vitu vya msingi na siku zote waieke nchi kwanza chama baadae na waache kuiga siasa za nchi za nje ambazo nyingi yao zimeanza kupoteza muelekeo. Marekani siasa zao hivi sasa zimetawaliwa na utabaka. Kwa hivyo utaona kabisa sisi suala la utabaka ni moja ya dhambi kuu kabisa. Ukienda Uengereza na nchi nyengine za ulaya ni kitu cha kawaida kumuona kiongozi wa kanisa kaolewa na mwanadume mwenzake na kama Sisters basi anasister mwenzake anae lala nae. Na wasingefika huko isipokuwa wanasiasa ndio waliowafikisha huko. Kwa hivyo sio kila kitu cha ulaya ni kizuri kwetu tunatakiwa kuwa makini katika kuiga la sivyo tutaharibikiwa.