Katika nyakati ambazo umepigika, nakushauri usiangalia page ya Instagram ya Diamond sababu utaumia roho bure! Diamond ameamua kuwaonesha mashabiki wake madolari aliyoyachuma Dubai wiki hii. Ni mengi!! Staa huyo amepost burungutu sita zilizoshiba za dola mia mia zikiwa juu ya gitaa.
Kwakuwa alitaka picha izungumze, aliandika tu: See you Next time DUBAI!!!!
6 comments:
magu anakusubiri ulipe kodi wewe jitiye hamnazo za kuringa ringa.kufata mkumbo shauri yako.nchi yenyewe imefilisika.inanuka ukata.
Tuwashauri akina Bill Gate nao watandaze dolari zao, ulimbukeni una matatizi kweli kweli
Kwa taarifa yako tu jamaa wanao flash hela hadharani hawaishii pazuri. Trust me na jaribu kufanya utafiti!
JASHO LAKO KAKA! ENJOY!LAZIMA UFURAHI NA KUWAONYESHA WATU KUWA PANAPO BIDII,YOTE YANAWEZEKANA,SIO KUSHINDA POROJO POROJO BILA KUDHUBUTU,KUPONDA BILA SABABABU YA MSINGI!VIJANA TUACHE CHOKOCHOKO,JAMAA ANABIDII NA ANAJALI KAZI YAKE!ACHENI MAJUNGU MSHPENI HONGERA ZAKE LOH!HATA NANYINYI MNAOSEMA WENZENU VIBAYA MKIFANYA VIZURI TUTAWASHANGILIA!DIAMOND BABA TWENDE KAZI!TUKO PAMOJA SANA! UNATUTOA KIMASOMASO BHANA!
Naïveté and stupidity. The young man needs more wisdom. In 10 years e will come to regret this superfluous life style!
Diamond did a good job in las Vegas..enjoy your sweat...you earned it.
Post a Comment