Rais Magufuli alivyokwenda benki kuu bila kuwataarifu.
2 comments:
Anonymous
said...
Kuna hatari ya watumishi wengi wa umma kufukuzwa kazi hata kuishia jela kutokana na kufanya kazi kwa mazoea ya katika hali ya ubabaishaji iliokwisha jengeka katika maisha yao ya kazi na kumchukulia Magufuli kama maraisi wote wapya wanapoingia madarakani huanza kwa vishindo na kuishia njiani. Kwa bahati mbaya kwa wazembe na mafisadi na nzuri kwa Tanzania,Magufuli ni msomi muajibikaji sio msomi tu hapana. Ni msomi wa kiwango cha PhD kwa taaluma yake na ni mtaalam wa hisabati. Ni smart hasa tofauti na watoto wa mjini waliokuwemo maofisini wanavyomfikiria na wasipobadilika wengi wataumbuka. Ni mzalendo wa kweli na mwenye uchungu wa nchi yake na kweli amedhamiria kuibadilisha Tanzania. Ni viongozi wachache Africa kama si kwa dunia anaefanya kazi yake katika hali ya kujitolea kabisa kwa kuweka mbele manufaa ya wananchi wake kwanza. Sina uhakika lakini Magufuli tangu alipoapishwa kuwa raisi takribani miezi mitatu na zaidi tunamshuhudia akifanya kazi non stop.Anaifahamu Tanzania na watanzania vizuri na tabia yetu ya ubabaishaji lakini watanzania au niseme watumishi wengi wa umma inaonekana hawamjui nani magufuli?
2 comments:
Kuna hatari ya watumishi wengi wa umma kufukuzwa kazi hata kuishia jela kutokana na kufanya kazi kwa mazoea ya katika hali ya ubabaishaji iliokwisha jengeka katika maisha yao ya kazi na kumchukulia Magufuli kama maraisi wote wapya wanapoingia madarakani huanza kwa vishindo na kuishia njiani.
Kwa bahati mbaya kwa wazembe na mafisadi na nzuri kwa Tanzania,Magufuli ni msomi muajibikaji sio msomi tu hapana. Ni msomi wa kiwango cha PhD kwa taaluma yake na ni mtaalam wa hisabati. Ni smart hasa tofauti na watoto wa mjini waliokuwemo maofisini wanavyomfikiria na wasipobadilika wengi wataumbuka. Ni mzalendo wa kweli na mwenye uchungu wa nchi yake na kweli amedhamiria kuibadilisha Tanzania. Ni viongozi wachache Africa kama si kwa dunia anaefanya kazi yake katika hali ya kujitolea kabisa kwa kuweka mbele manufaa ya wananchi wake kwanza. Sina uhakika lakini Magufuli tangu alipoapishwa kuwa raisi takribani miezi mitatu na zaidi tunamshuhudia akifanya kazi non stop.Anaifahamu Tanzania na watanzania vizuri na tabia yetu ya ubabaishaji lakini watanzania au niseme watumishi wengi wa umma inaonekana hawamjui nani magufuli?
That is kind of President Tanzania needs. we don't need feckless President.
Thanks Mr. President, we are proud to be Tanzanians.
Post a Comment