ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, March 24, 2016

TAARIFA YA MSIBA DMV NA TANZANIA

Geraldine Ngowi na Grace mlingi wa Silver Spring,MD wanasikitika kutangaza kifo cha kaka yake mpendwa Edgar Ngowi aliyemuachia Geraldine nyonyo ambaye ni mjomba wa (Grace Mlingi) kilichotokea asubuhi ya kuamkia leo huko nyumbani Moshi Tanzania. Ni mshtuko mkubwa kwa familia kwa kifo cha ghafla cha mpendwa wao.

Kama ilivyo mila na desturi yetu kupeana pole ni jambo la uungwana, msiba upo
Anwani ni 
11620 stewart Lane apt.404 
Silver Spring, MD 20904

Kwa maelezo na maelekezo zaidi hata kutoa pole kwa wafiwa tafadhali wasiliana kwa simu, 
Geraldine 202 531 2254
Grace 240 360 6670 

Bwana ametoa, Bwana ametwaa na kwake tutarejea

2 comments:

Anonymous said...

Jamani poleni lakini...mbona mwatuchanganya? Imekuwa puzzle....plse Keep it simple!!! Mambo ya nyonyo tena kulikoni?

Anonymous said...

Poleni sana Gera, nakumbuka vizuri Edgar. Mungu awakumbatie na kuwapa faraja katika hili. Rest In Perfect Peace Edgar. Love- Grace.