Tawi la CCM New York linatoa salamu za pongezi kwa Mh. Dr. Ali Mohamed Shein kwa kuchaguliwa kwa mara nyingine tena kuwa rais wa serikali ya mapinduzi Zanzibar.
Vivyo hivyo tawi linawapongeza wanachama na wananchi wote wa Tanzania kwa kutumia haki yao ya kimsingi katika kufanikisha uchaguzi huo kwa amani.
IMETOLEWA
GASTO MKAPA
KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI
CCM-NEW YORK
3 comments:
Are you serious? You have so much time, I wish I lived in Washington.
Ni aibu kuona vijana wanaokaa nje ya nchi bado wanashabikia ushindi wa % 91. Dunia ya leo ktk siasa hata USA hakuna kitu kama hicho. Katika utawala wa Nyerere na Karume ningesema ni sawa. Lakini wakati huu.matokeo ya chaguzi zilizopita yanajionyesha wazi wazi. (20)yrs. Na nyie kesho mkirudi mnajitangaza kuwa mnapigania haki za wanyonge. Hata uchaguzi wa meya Dar usingefanyika Kama si Rais kuona aibu...kila kukicha najiuliza ni lini wa Afrika tuta acha uroho wa madaraka nakujiona miungu wa duniani.mtu anayepinga mawazo yako kamwe hatakiwi kuwa adui yako,huyu ni mtu anayekusahihisha makosa yako. Sana sana tunaishi miaka 100 to. Sasa kung'ang'ania madaraka kutakuingezea nini wakati siku ikifika hicho kiti anakikalia mtu mwingine. Afrika,Afrika khaaaaa. Eti % 91. Kisiwa chenyewe hata wapiga kura 500,000 hawafiki.
ndiyo hapo...kudangayana hadi kuamini uongo ...how do you win 90% of the votes and call it fair elections. Sijui kama tutaweza endelea kwa mwendo huu. Still watu wanaoishi majuu nao wanaona na kujigamba eti ccm imewin by 90%. Elimu ni muhimu sana kwa vijana. Haya sherekeeni maana ndiyo kazi yenu.
Post a Comment