Thursday, March 3, 2016

VIONGOZI WANAWAKE DAR ES SALAAM KUUNGANA NA MAMIA YA WANAWAKE DUNIANI KUWEKEZA KUKUZA KIZAZI CHA WATAALAMU

Emelda Mwamanga kutoka Vital Voices Global Partnership ambao ni waandaaji na waratibu wa matembezi na mafunzo kwa wanawake kuelekea siku ya wanawake duniani akizungumza na wanahabari kuzungumzia umuhimu wa tukio hilo. Kushoto ni Marion Elias miongoni mwa waratibu wa matembezi na Meneja Masoko wa Jubilee Insurance, Francisca Mushi ambao ni wadhamini wakuu wa shughuli hiyo.
Mmoja wa waratibu wa matembezi hayo, Marion Elias akizungumza na wanahabari kuzungumzia umuhimu wa tukio hilo. Wengine ni Emelda Mwamanga kutoka Vital Voices Global Partnership na Meneja Masoko wa Jubilee Insurance, Francisca Mushi (kulia) ambao ni wadhamini wakuu wa shughuli hiyo.
Meneja Masoko wa Jubilee Insurance, Francisca Mushi (kulia) ambao ni wadhamini wakuu wa matembezi ya wanawake akizungumza na wanahabari. Kulia ni Mmoja wa waratibu wa matembezi hayo, Marion Elias na Emelda Mwamanga kutoka Vital Voices Global Partnership ambao ni waandaaji na waratibu wa matembezi na mafunzo kwa wanawake kuelekea siku ya wanawake duniani.

No comments: