ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, March 26, 2016

WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU KATIKA KITUO CHA KULEA YATIMA CHA CHAKUWAMA WAPATA MSAADA WA VYAKULA KWA AJILI YAKUSHEREHEKEA SIKUKUU YA PASAKA

 Meneja  Mkuu wa Maduka ya  nguo ya Woolworths Tanzania, Joehans Bushir (Kushoto)  akiongea na  mmoja wa watoto wanaolelewa katika kituo cha kulea watoto Yatima wanaoishi katika mazingira magumu cha Chakuwama, kilichopo Sinza jijini Dar es Salaa, wakati kampuni hiyo ilipopeleka misaada mbalimbali ya vyakula ,ikiwemo mchele,mafuta na sabuni, ili watoto wakituo hicho waweze kusherehekea sikukuu ya pasaka kwa furaha.
 Meneja  Mkuu wa Maduka ya  nguo ya Woolworths Tanzania, Joehans Bushir (Kushoto) akimkabidhi msaada wa ndoo ya mafuta ya kupikia Jesca John ambaye ni miongoni mwa watoto wanaolelewa katika kituo cha kulea watoto Yatima wanaoishi katika mazingira magumu cha Chakuwama, kilichopo Sinza jijini Dar es Salaa,  kampuni hiyo ilipopeleka misaada mbalimbali ya vyakula ,ikiwemo mchele,mafuta na sabuni, ili watoto wakituo hicho waweze kusherehekea sikukuu ya pasaka kwa furaha.
Wafanyakazi wa maduka ya kuuza nguo ya Woolworths Tanzania, Joehans Bushir (Kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na  watoto wanaolelewa katika kituo cha kulea watoto Yatima wanaoishi katika mazingira magumu cha Chakuwama, kilichopo Sinza jijini Dar es Salaa, mara baada ya kukabidhiwa msaada  wa vyakula mbalimbali , ikiwemo mchele, mafuta yabkula na sabuni,ili watoto wakituo hicho waweze kusherehekea sikukuu ya pasaka kwa furaha.
Meneja  Mkuu wa Maduka ya  nguo ya Woolworths Tanzania, Joehans Bushir (Kushoto) akimsikiliza kwa makini mlezi na mmiliki wa  kituo cha kulea watoto Yatima wanaoishi katika mazingira magumu cha Chakuwama, kilichopo Sinza jijini Dar es Salaa, Saida Hassan , wakati kampuni hiyo ilipopeleka misaada mbalimbali wa vyakula ,ikiwemo mchele,mafuta na sabuni, ili watoto wakituo hicho waweze kusherehekea sikukuu ya pasaka kwa furaha. 

No comments: