

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wa Lamadi wilayani Busega kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara wenye uwanja wa michezo Machi 2, 2016.

Mbunge wa Busega Dkt Raphael Chegeni (kushoto) na Mbunge wa zamani wa jimbo hilo, Dkt Titus Kamani ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Simiyu wametangaza rasmi kuzika tofauti zao na kushirikiana kuleta maendeleo kwenye jimbo hilo. Pichani viongozi hao wakiwadhihirishia wananchi kuwa hawana chukui wala ugomvi tena na kuwa uchaguzi umekwisha katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa kwenye kijiji cha Lamadi wilayni Busega Machi 2, 2016. .

Mbunge wa Busega Dkt Raphael Chegeni (kushoto) na Mbunge wa zamani wa jimbo hilo, Dkt Titus Kamani ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Simiyu wametangaa rasmi kuzika tofauti zao na kushirikiana kuleta maendeleo kwenye jimbo hilo. Pichani viongozi hao wakiwadhihirishia wananchi kuwa hawana chukui wala ugomvi tena na kuwa uchaguzi umekwisha katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa kwenye kijiji cha Lamadi wilayni Busega Machi 2, 2016.

No comments:
Post a Comment