ANGALIA LIVE NEWS

Friday, April 22, 2016

FULL MOON PARTY IN DAR

Kwa Mara Ya Kwanza Dar Es Salaam Official FullMoonPartyInDar‬ 2016 Tunasogeza Bata Zote Ndani Ya ‪‎Escape1Beach‬ 
Ni BeachParty‬ Haijawai Kutokea. Jumamosi 23rd April. Kuanzia Saa Sita Kamili Mchana. Patakuwa Na Nyama Choma, Sea Food Tables, Burudani Ya Music Djku255  na Dj Cartel_yankee  Pamoja na wengine kibao.
Bonfire. Hakuna Kukosa. 
KIINGILIO TSH 10,000 Njoo wewe Na Wenzako.

No comments: