Karibuni Sana Wapendwa kwa Ibada Pasaka.
kwenye ibada ya misa takatifu kwa lugha ya kiswahili
tunaposherekea ufufuko wa Kristu - Pasaka
Ibada itafanyika katika kanisa takatifu katoliki la
Mtakatifu Edward (St Edward Parish)
901 Poplar Grove St,
Baltimore, MD 21216,
Phone: (410) 362-2000
Jumapili Tarehe 3 March 2016,
Saa nane kamili mchana (2:00 PM).
Karibu sana na unaombwa uwataarifu na kuwakaribisha
ndugu, marafiki na jamaa zako.
Karibu pia kujiunga kwa mawasiliano
ya barua pepe anwani.
Tunawatakieni nyote maandalizi mema ya Pasana na Familia zenu.
Kwa niaba ya Fr. Honest Munish ni katibu Tibruss Minja.
1 comment:
Jumapili Machi 3, 2016 imepita. Nadhani unamaanisha Jumapili April 3, 2016?
Post a Comment