Mabondia watakaocheza katika mpambano wa kimataifa mei 14 katika uwanja wa ndani wa Taifa kutoka kushoto ni Abdallah Pazi Fransic Miyeyusho, Thomas Mashali, Lulu Kayage na Swalehe Mkalekwa
Mabondia watakaocheza katika mpambano wa kimataifa mei 14 katika uwanja wa ndani wa Taifa wakionesha mshikamano wao wakati wa kutambulisha mpmbano uho kutoka kushoto ni Abdallah Pazi Fransic Miyeyusho, Thomas Mashali, Lulu Kayage na Swalehe Mkalekwa
BONDIA THOMAS MASHALI AKIZUNUMZIA MPAMBANO WAKE
LULU KAYAGE AKIONGEA KUHUSU MPAMBANO WAKE
Mabondia watakaocheza katika mpambano wa kimataifa mei 14 katika uwanja wa ndani wa Taifa kutoka kushoto ni Abdallah Pazi Fransic Miyeyusho, Thomas Mashali, Lulu Kayage na Swalehe Mkalekwa
Mabondia watakaocheza katika mpambano wa kimataifa mei 14 katika uwanja wa ndani wa Taifa kutoka kushoto ni Abdallah Pazi Fransic Miyeyusho, Thomas Mashali, Lulu Kayage na Swalehe Mkalekwa na mratibu Anton Rutta
Mratibu wa mpambano wa kimataifa Anton Rutta akizungumzia mpambano uho nyuma akiwa na mabondia watakaocheza
Mratibu wa mpambano wa kimataifa Anton Rutta akizungumzia mpambano uho nyuma akiwa na mabondia watakaocheza
Na Mwandishi WetuHOMA ya mpambano wa kimataifa umezidi kupamba mota baada ya leo kukutanishwa mabondia wote wa Tanzania watakaocheza na wa nje kuongea na wahandishi wa habari
akizungumza katika mkutano na waandihi wa habari mlatibu wa mpambano uho Anton Rutta amesema mabondia wote wapo safi kwa ajili ya mpambano uho wa kimataifa ambapo bondia
Thomas Mashali 'Simba Asiyefugika' atakuwa anagombea ubingwa wa dunia mkanda wa U.B.O na Sajjad Mehrab kutoka 'Irani'
Wakati mapambano mengine ya kimataifa yatawakutanisha mabondia
Mwanadada Lulu Kayage atakaezichapa na Chiedza Homakoma 'Nikita' wa Malawi wengine ni Ramadhan Shauri atakaepambana na Osgood Kayuni wa Malawi wakati Twaha Kassim atapambana na Fred Nyakese kutoka Kenya na Saleh Mkalekwa atakumbana na Jems Onyango wa Kenya na Fransic Miyeyusho atavaana na Frank Kiwalabye wa Uganda na Nassibu Ramadhani atacheza na Edwrd Kakembo wa Uganda Abdalla Pazi 'Dula Mbabe' atavaana na Chamunorwa Gonorenda kutoka Zimbabwe
mapambano mengini ya kitaifa yatawakutanisha Shaban Kaoneka atakaecheza na Hassan Mwakinyo na Issa Nampepeche atakumbana na Baina Mazola
mapambano hayo ya kimataifa yameandaliwa na promota mkongwe Ally Mwazowa kutoka mkoa wa Tanga
siku hiyo kutakuwa na burudani mbalimbali zitakazo sindikiza mapambano hayo ya kimataifa ya mchezo wa masumbwi
siku hiyo pia kutakuwa na ugawaji wa zawadi kwa mabondia watakaocheza vizuri na kuonesa nidhamu ya mchezo wa masumbwi ikiwemo vifaa vya mchezo pamoja na DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi pamoja na kutamba shiria za mchezo uho nyingine zitakuwa zikiuzwa kwa galama nafuu kwa mashabiki watakaofika siku hiyo
No comments:
Post a Comment