Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella akitoa ufafanuzi wakati wa
uzinduzi wa mradi wa PS3 mkoani Mwanza, kwa ajili ya kuimarisha mifumo
ya Sekta ya Umma,Mh.Mongella alisema kuwa mradi huo utafanyika katika
mikoa 13, ambayo itaanza na mradi huo Mwanza ni mmoja wapo.
Mkurugenzi wa TAMISEMI Bibi Betrece Kimoleta, alipokuwa akitoa maelezo
kuhusu jukumu la TAMISEMI katika uzinduzi wa mradi wa PS3 mkoani Mwanza,
kwa ajili ya kuimarisha mifumo ya Sekta ya Umma.
Dr. Peter Kilima, akitoa maelezo jinsi mradi utakavyo fanya kazi na afua zitakazo zingatiwa katika kutekeleza mradi huo.
Washiriki wa Uzinduzi huo kutoka Sekretarieti ya Mkoa wa Mwanza wakiwa
katika majadiliano ya Pamoja wakati wa Uzinduzi huo.( Picha zote na
Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Mwanza).
No comments:
Post a Comment