AFISA UHAMASISHAJI KUTOKA NHIF MKOA WA TANGA,VISTUS TILUSASILA AKIHAMASISHA WAJASIRIAMALI KWENYE SOKO LA NGAMIANI KUJIUNGA NA KIKOA BIMA YA AFYA KWA WAJASIRIAMALI LEO KUSHOTO NI AFISA UANACHAMA NHIF MKOA WA TANGA JULIANA MATHIAS
DAKTARI BENJAMINI SANA KUTOKA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA MKOANI TANGA(NHIF) AKIGAWA VIPEPERUFI KWA WAJASIRIAMALI WA SOKO LA NGAMIANI LEO
AFISA KUTOKA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA MKOANI TANGA(NHIF)MARRY MONELLA AKIGAWA VIPEPERUSHI WAJASIRIAMALI WA SOKO LA NGAMIANI LEO
Picha kwa hisani ya Tanga Raha Blog.
No comments:
Post a Comment