Kocha wa mchezo wa ngumi nchini Habibu Kinyogoli 'Masta' kushoto akimkabidhi tunzo bondia bingwa wa watoto Salim Mponda baada ya kumtwanga Hemed Mrema wengine wa pili kushto ni bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kocha Juma Mwalimu na Dickson Tembo
Bondia Salim Mponda kushoto akioneshana umwamba wa kuitupiana makonde na Hemed Mrema wakati wapambano wao uliofanyika juzi katika uwanja wa club ya bar ya wazee ilala Dar es salaam Mponda alishinda kwa point
MPONDA NA MREMA WAKISALIMIANA KABLA YA KUMALIZA MPAMBANO WAO
Bondia Salim Mponda kushoto akioneshana umwamba wa kuitupiana makonde na Hemed Mrema wakati wapambano wao uliofanyika juzi katika uwanja wa club ya bar ya wazee ilala Dar es salaam Mponda alishinda kwa point
MABONDIA SALIM MPONDA NA HEMED MREMA BAADA YA KUPOKEA ZAWADI ZAO
HEMED MREMA AKIZUNGUMZA BAADA YA KUCHUKUA NAFASI A PILI
Mabondia said Ligila na Fadhili Boika wkati wa mpambano wao uliofasnyika katika uwanja wa club ya bar ya wazee ilala bungoni
MABONDIA WA ZANZIBAR
fadhili boika kushoto akioneshana umwamba na said ligila
No comments:
Post a Comment