Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akimuapisha Mathias Meinrad Chikawe kuwa Balozi mpya wa Tanzania
nchini Japan, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt. Magufuli akimpongeza Mathias Meinrad Chikawe
mara baada ya kumuapisha kuwa Balozi
Mpya wa Tanzania nchini Japan.
Balozi mpya wa Tanzania nchini Japan Mathias Chikawe akimshukuru Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya
kuamuapisha Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt. Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na
Balozi mpya wa Tanzania nchini Japan Mathias Chikawe pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi
Balozi Mhandisi John Kijazi Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU




1 comment:
kweli mungu kamuona mja wake. Mzee kwa mimi ninavyo kujua kweli tumepata mtu mahana mzee mtango alituvuruga na kuuvunja umojawetu . Nahamini mzee wetu chikawe utatuhunganganisha vijana wako kwa raha na matatizo . Mi binafsi kiongozi wetu kipenzi chetu raisi wetu akija japani ntamwambia jinsi wanavyo tufanyia
Post a Comment