ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, April 19, 2016

Rais John Magufuli amependekeza Daraja jipya la Kigamboni lipewe jina la 'MWALIMU JULIUS NYERERE'.

Rais John Magufuli amependekeza Daraja jipya la Kigamboni lipewe jina la 'MWALIMU JULIUS NYERERE'.

Kama mtanzania mzalendo na unakubaliana na jina hilo comment neno 'YES' na kama unaona halifai basi comment 'NO' na upendekeze la kwako hapa

16 comments:

Anonymous said...

Kwani kajenga yeye nyerere ??lilitaliwa liitwe jakaya bridge hovyo kabisa

Ben said...

NO Nyerere!.KIKWETE BRIDGE lingefaa zaidi.sababu serekali yake ndio imejenga hilo daraja pia kumuenzi kwa mazuri yake.

Unknown said...

sio kila kitu Nyerere tu kwa nini lisiitwe moja ya wapigania uhuru wengine au nchii hii haina watu wa kukumbukwa zaidi ya nyerere

Unknown said...

Apewe mpigania uhuru mwingine sio kila kitu Nyerere tuu kwani hakuna watu wengine wa kukumbukwa au ndio (a country without heroes?)

Anonymous said...

Kuna bara bara ya mwalimu nyerere, uwanja wa ndege, wa mpira pia. Hili daraja lipewe jina lingine.

Anonymous said...

Liitwe hivyo hivyo kigamboni bridge

Anonymous said...

NO lisiitwe Nyerere libakie kuitwa hivyo hivyo Kigamboni bridge

Unknown said...

Yes👍

Anonymous said...

LIITWE NYERERE BRIDGE.

Anonymous said...

Tayari kuna uwanja wa Julius nyerere airport,vile vile kuna Benjamin Mkapa Stadium, kuna uwanja wa Ali Hassan mwinyi, sasa mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni JMK BRIDGE ina make sense kabisa.

Anonymous said...

Kila kitu Nyerere. Tubadilike. Kwani hawakumwona wala kumfikiria JEMBE Marehemu SOKOINE. Lingepewa Sokoine briddge walau!! Napita tu.

Anonymous said...

Hii ni sawa nakusema mtoto wa mfalme ndiye atakaye kuwa mfalme baada ya baba yake... hivi ufalme ni cheo cha kutoka mbinguni au kujipachika tu. Basi hata mwanangu anastahili kuwa mfalme baada ya mfalme. Kigamboni ilikuwa na watu mashuhuri kabla na baada ya Nyerere. Hivyo tafuteni jina lolote la mpigania haki za binadamu kutoka kigamboni. Au hata New kigamboni bridge inafaa.thanks

Anonymous said...

Nauliza swali...Kule USA kuna mnara wa Washington, Jimbo la Washington-Seattle, Jimbo kuu la Washington (Makao Makuu Ya Nchi),Mitaa kibao majimboni,Shule za Msingi,Sekondari na Vyuo Mbalimbali vya Washington,mfano University of Washington,Washington University na kadhalika. Sasa kwani alijenga George Washington?...Je, hakuna wapigania uhuru wengine waliohusika,Weusi(Blacks) kwa wengine waliohusika?....Basi, na hapa kandanda ni ile ile!...Tunakubaliana na yote yaliyoamriwa na kupangwa na Serikali hii kwa sasa!...Ndugu yenu

Anonymous said...

Wakati wa uhai wake nyerere amejenga nini? Sifa mnazompa kila siku ni kiswahili,ukabila,amani na haya yote ni majaliwa ya m/mungu jamaa hana lolote ndio aliyetuchimbia hili shimo tunalo jaribu kutoka no no no no kigamboni bridge baby

Anonymous said...

Labda wewe hujui?..Na huijui vizuri Historia ya Tanzania!..Nakushauri kama hujui ulizia ufundishwe husiyoyajua. Mfano, kama hujui somo la Jiografia..waulize walimu wa somo hilo wewe mwanafunzi. osema,Pia umeongea kidogo uliyodokezewa ulivyosema, "Sifa mnazompa kila siku ni kiswahili,ukabila,amani"..Nafikiri hata uliyotaja ni gharama sana kuyajenga zaidi ya hilo Daraja unalopigia kelele. Je, na wewe umejenga nini mpaka sasa kwenye nchi yako angalau kuonyesha mfano?..Nyerere wakati wa Uhai wake, ameijenga nchi ya Tanzania toka tulipokuwepo wakati wa Ukoloni mpaka mwaka 1984 alipostaafu. Sasa kama hujui..ingia darasani. Au jaribu kidogo kufanya yale uliyoyatamka!..Hata watu wa nchi nyingine nao wanajaribu kutoka kwenye shimo hilo hilo wanalojaribu kutoka!...Ndugu yenu Anonymous

Anonymous said...

....Maria Nyerere atembelea daraja la Kigamboni....
Mama Maria Nyerere, Mjane wa Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, akiwa na mwanae Mhe. Makongoro Nyerere na msaidizi wake akifurahia mandhari wakati walipotembelea Daraja la Nyerere Kigamboni jijini Dar es salaam leo.
Mama Maria, ambae hakujali mvua kubwa iliyokuwa inanyesha, alionekana mwenye furaha kufika darajani hapo kwani ndoto ya miaka mingi iliyoanzishwa na hayati mumewe imetimia. Pia alimshukuru sana Dkt John Pombe...
Amenena... Anonymous