This step is long overdue. It come just too late. Miaka mingi mtu aki pigs simu Tanzania kutoka nje anayepokea nyumbani anakuuliza upo Dar es salaam? Ukiuliza kwanini unaambiwa namba inyoonekana huko ni namba ya Tigo, Airtel ama Voda! Maajabu sana. Kisha namba hiyo inayoonekana huko hata wewe mwenyewe huijui wala hujawahi kuitumia. Yule unayempigia akiipiga hiyo namba haipatikani!
Binafsi nilishawaandikia TCRA kupitia msemaji wao hadi leo sina jibu. Nilialamika mbona duniani kote namba ya mpiga simu inaonekana upande wa pili isipokuwa Tanzania tu? Kumbe yote hayo yalikuwa ni mipango ya kuinyima Serikali mapato ya kodi za simu zinazopigwa toka nje ili kuonekana ni local calls! Hiyo ndiyo Bongo kweli!
That's probably not the case! ... I am not an expert in telecommunications, but I think the Voice over Internet Protocol (VoIP) calls, including calls via calling cards, that most of us make for our international calls do not necessarily display the phone numbers of origin when they reach the foreign carrier's network and get relayed to the final destination. I believe your phone number should be displayed if you make a traditional telephone call which, of course, is more expensive than VoIP calls or calls made using calling cards.
4 comments:
Tulikuwa tunaibiwa sana. Simu nyingi kutoka nje ya nchi zilikuwa zaonyesha local numbers huko nyumbani ili kukwepa kodi. Big up Magufuli
This step is long overdue. It come just too late. Miaka mingi mtu aki pigs simu Tanzania kutoka nje anayepokea nyumbani anakuuliza upo Dar es salaam? Ukiuliza kwanini unaambiwa namba inyoonekana huko ni namba ya Tigo, Airtel ama Voda! Maajabu sana. Kisha namba hiyo inayoonekana huko hata wewe mwenyewe huijui wala hujawahi kuitumia. Yule unayempigia akiipiga hiyo namba haipatikani!
Binafsi nilishawaandikia TCRA kupitia msemaji wao hadi leo sina jibu. Nilialamika mbona duniani kote namba ya mpiga simu inaonekana upande wa pili isipokuwa Tanzania tu? Kumbe yote hayo yalikuwa ni mipango ya kuinyima Serikali mapato ya kodi za simu zinazopigwa toka nje ili kuonekana ni local calls! Hiyo ndiyo Bongo kweli!
Hongera Magufuli.
jamaa wamemuwahi kabla hajazima mchina wamemzima yeye

Post a Comment