ANGALIA LIVE NEWS

Friday, April 29, 2016

USIKU WA VITA 🌘 THE WEEKEND MIDNIGHT BATTLE 🌘

Sisi vijana, Kina Dada, Wazee na Kinamama pande zote za USA.
Tunatangaza usiku wa Ijumaa kuwa ni"USIKU WAVITA". Enough is enough for the devil,

Waefeso 6:12

Ungana nasi kwenye maombi ya Kukesha ya kila Usiku wa Ijumaa,

Kupambana na Kuharibu Kazi zote za Shetani anazo ziandaa kila Usiku wa Weekends dhidi ya Jumuia zetu, Familia zetu 

Maombi yanaanza kila Ijumaa
●Time : 11:00 pm to 6: am 
● USA-Eastern Standard Time (EST)
Prayer line🏾
DIAL Number: 218-548-2987 - Access Code: 912280 #.

● Kumbuka Uwe mahali popote Usiku huu wa Weekend, Dam ya Yesu Ikufunike

Tuma huu ujumbe wa USIKU WA VITA kwenye Group yako, na watu wote,..Jumuika nasi hata kwa saa moja, kwa saa yoyote utakayo taka.. Uone Mungu anavyo pigana hii Vita.
Ubarikiwe.

No comments: