Advertisements

Friday, April 29, 2016

WANAMITINDO WAPO TAYARI KUITIKISA DICOTA KWA VIVAZI AMBAVYO HAVIJAWAHI TOKEA

 Kutoka kushoto ni DariaMwakaramba kutoka Tanzania, Asya Idarous Khamsin toka Tanzania/Houston na Flora toka North Carolina ambao siku ya Ijumaa April 29, 2016 wataitikisa kongamano la DICOTA 2016 jijini Dallas kwa vivazi vya kukata na shoka kutoka Tanzania na hapa Marekani.
Wanamitindo wakiwa katika picha ya pamoja.

No comments: