Rick Mwakabuta (kulia) akiwa na wazazi wake na wadogo zake na marafiki zao katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika leo Alhamisi April 26, 2016 katika hotel ya Hyatt Regency jijini Dallas nchini Marekani.
Kulia ni Rick Mwakabuta akikata keki.
Wanafamilia wakiwa katika picha ya pamoja
Wanafamilia na marafiki zao katika picha ya pamoja
No comments:
Post a Comment