Bishop Melchizedek Danford Maturlu wa Kingdom Ministries akiongoza kongamano la dini lililofanyika Hyattsville, Maryland siku ya Jumamosi April 23, 2016.
Kikundi cha kwaya cha kanisa la Kingdom Ministrie kikiimba moja ya nyimbo za injili Kanisani hapo.
Ibada ndani ya kanisa la Kingdom Minisries ikiendelea.
Ibada ikiendelea.
No comments:
Post a Comment