Waziri Mkuu, KassimMajaliwa akisalimiana na wananchi baada ya kuwasili kwenye kijiji cha Namahema wilayani Ruangwa kuhutubia mkutano wa hadhara Aprili 10, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na mwendesha pikipiki maarufu na hodari, Zaina Amour wa kijiji cha Nandagara wilayani Ruangwa Aprili 10, 2016. Alikuwa katika ziara ya jimbo lake la uchaguzi la Ruangwa.
Mmoja wa wananchi wa kijiji cha Namahema wilayani Ruangwa (jina halikupatikana) akimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati aipohutubia mkutano wa hadhara kijijini hapo, Aprili 10, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Namahema wilayani Ruangwa Aprili 10, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
2 comments:
Mama hata Helmet hana then waziri mzima huoni hilo kuwa ni tatizo.
Huyu bibie nbi afadhali tu agalivaa suruali/jeans na pamoja jacket la pikipiki (kuzuia upepo kupiga kifuani)...kwani hili vazi lake sijui max:-) au sijui dira au gauni) ni rahisi kunasa kwenye chain (nyororo) ya pikipiki na kusababisha ajali. Kingine ni Kofia ya chuma (Helmet) kwa mwendeshaji na abiria wake.
Tufike mahali tukubali kuwa kila kazi ina vazi lake stahili yaani (designed safety gears)
Otherwise nampongeza mwanamama kwa shughuli zake za ujarialiamali. Akina Mama hoyeee:-) Wakiwezeshwa kumbe wanaweza!
Post a Comment