Kila inapofika mei 15 ya kila mwaka, mwana dada mkali wa Bongo Fleva Dayna Nyange huwa anatimiza umri wake wa kuzaliwa. @daynanyange leo hii anayofuraha kukualika wee kuungana naye katika siku yake muhimu kabisa katika maisha yake. Tunakuomba chukua fursa hii kumtakia kheri ya maisha marefu na baraka tele matika harakati zake za kimaisha hususan katika harakati zake za kimuziki. Tunakutakia khetri ya maisha marefu na baraka tele mamaa Dayna Nyange mkali wa Angejua. Happy Birthday 2 u Dayna Nyange
No comments:
Post a Comment