Mwenyekiti wa New York Tanzania Community Sylvester Mwingira, akiongea machache baada ya kuchaguliwa katika uchaguzi uliofanyika na wa Tanzania wa New York.
Makamu Mwenyekiti Gaston Mkapa akiongea machache baada ya uchaguzi.
Mwenyekiti wa tawi la CCM New York bwana Akida akipata ukodak na viongozi wapya wa New York Tanzania Community.
1 comment:
Hongera 5'8
Post a Comment