Advertisements

Friday, May 6, 2016

JENGO LA NSSF LA ENEO LA AKIBA LAWAKA MOTO MUDA HUU.


Jengo la NSSF la eneo la Akiba jijini Dar es Salaam lawaka moto muda huu. Chanzo cha moto huo kinasemekana ni mtungi wa gesi kuripuka na kusababisha moto huo.Magari ya zimamoto yakiwa eneo la tukio na kuanza Shughuli za uzimaji moto katika jengo la NSSF lililopo eneo la Akiba jijini Dar es Salaam muda huu. Moto huo inasemekana hakuna madhara makubwa (yakibinadamu)yaliyojitokeza kutokana na watu wa zimamoto kufika kwa wakati katika eneo hilo.Credit:Michuz

1 comment:

Anonymous said...

this happened yesterday. sio muda huu