Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na waTanzania waliojumuika kumsikiliza jijini London |
Kipindi cha JUKWAA LANGU hukujia kila Jumatatu kikiongozwa na Mubelwa Bandio toka Beltsville Maryland, USA, kuzungumzia mambo mbalimbali yanayoihusu Tanzania ya sasa na ile tuitakayo.
Ni Tanzania kutoka jicho la DIASPORA
Na katika kipindi cha juma hili, tulizungumza na Chris Lukosi, ambaye alitupa muhtasari wa ziara ya Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa huko nchini Uingereza.
Muhtasari huo ulizua na mjadala mkali juu ya ahadi za serikali kuhusu vibali maalum kwa waTanzania waishio nje ya nchi.
Karibu
Ni Tanzania kutoka jicho la DIASPORA
Na katika kipindi cha juma hili, tulizungumza na Chris Lukosi, ambaye alitupa muhtasari wa ziara ya Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa huko nchini Uingereza.
Muhtasari huo ulizua na mjadala mkali juu ya ahadi za serikali kuhusu vibali maalum kwa waTanzania waishio nje ya nchi.
Karibu
2 comments:
Bila ku press serikali kuweka time frame ya kupatikana hivyo vitambulisho,diaspora tutasubiri sana.Waziri mkuu ni mwanasiasa kama alivyokuwa raisi Kikwete, waziri Membe,Samuel Sita nk. Ambao kila mmoja kwa wakati wake alitoa ahadi hewa..
Wayfoward:
Kupitia viongozi wetu wa diaspora iandikwe barua kwa wazazi mkuu, cc- wizara ya mambo ya nje, kupata ukweli wa jambo hili.
Katika maongezi hayo utaona already kuna contradiction kati ya maelezo ya dada Asha na Mr.Lukosi ambako dada Asha amesema kwa mujibu wa waelezo ya aliekuwa waziri wa mambo ya nje Mh.Membe "vitambulisho vilikuwa tayari" lakini Lukosi Amesema waziri mkuu kasema"vitambulisho vinaandaliwa" hamuoni kuwa hii ni political roundabouts
Mimi namuunga mkono Muta na maneno ya Muta kuhusu "Haki ya Birth right". Sisi ni original tumezaliwa tunapaswa we should have kept our original passport. Pia Sheria zilizo tunyanganya passport inatatizo na tunapaswa kuombwa msamaha kwa kutunyanganya passport zetu. Walionyanganywa passport would have contributed in the maendeleo kwa kulipia hizo passport, continuously & freely contibuting to TZ.
Post a Comment