ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, May 17, 2016

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI UINGEREZA, DKT. ASHA- ROSE MIGIRO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana  na Balozi wa Tanzania  nchini Uingereza, Dkt. Asha – Rose  Migiro kabla ya mazungumzo yao  Ofisini kwake jijini Dar es salaam  Mei 17, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza  na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Dkt. Asha – Rose Migiro  ofisini kwake jijini Dar es salaam Mei 17, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: