Advertisements

Sunday, May 29, 2016

KUKMBUKUMBU YA MIAKA SABA YA KIFO CHA MAMA

Tarehe kama ya leo miaka saba iliyopita (29/05/2009).Mama yetu mpendwa Mary Donata Watondoha alifariki,Kifo chake kimeacha nafasi kubwa ya wazi isiyoweza zibika kamwe katika familiya yake na kwa upande wa ukoo wa Kalembo na Watondoha(Mbwette).Kwa watoto wako na wajukuu zako kifo chako bado kinaleta majozi na uchungu unakumbukwa kila siku kwa ukarimu,msaada,busara na mawazo ya faraja kwa kila mmoja.Tunashukuru kwa wanandugu wote,marafiki wa karibu na wa mbali kwa kuwa nasi ktk kuadhimisha siku yako uliyotangulia.Ama kwa hakika tutakuja kukutana tena.

May her soul and the souls of all the faithful departed, through the mercy of God, rest in peace.
Amen.

No comments: