Pichani ni Mrs Marolen au Mama Bishanga na Prisca Zenda wananchuo wa Cleveland State University. kilichopo Cleveland Ohio. USA
Mimi Mama Bishanga, Prisca Zenda na wanchuo wenzetu watanzania wa Cleveland State University, Cleveland, Ohio, tumesikitishwa sana na kifo cha ghafla cha mwanao Magid Michuzi kilichilichotoke South Africa, Pokea pole zetu na tunamuombea marehemu amani ya kudumu katika usingizi wake wa milele: Na mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu unachopitia.
AMINA
No comments:
Post a Comment