Kushoto ni Dj Saydou na Seif Katunda wakihudhuria mkutano wa Tanzania Worldwide Djs wakikutana kwa mara nyingine Excape one Mikocheni siku ya Alhamis May 12, 2016, hiki ni kikao cha pili kufanyika Excape one katika kudumisha umoja wa Madjs wa zamani waliotamba enzi hizo katika muziki wa disco nchini Tanzania
Dj G Lover (kushoto) na Dj John Dilinger, Dj Fast Edd, John Peter Pantalakis, Dj Peter Moe wakihudhuria mkutano wa TWD uliofanyika Excape one Mikocheni jijini Dar es Salaam,
Mkutano wa Tanzania Woldwide Djs ukiendelea.
Mkutano wa TWD uliofanyika Excape one Mikocheni ukiendelea.
Kutoka kushoto ni Djs Fast Edd, John Dekinger na G. Lover wajiwa katika picha ya pamoja.
Picha ya pamoja.
Dj Kishoka na G Lover (kulia)
No comments:
Post a Comment