Advertisements

Friday, May 6, 2016

VIDEO: Hii ndio takwimu ya matukio ya Ubakaji Tanzania, Waziri kaitoa leo


Angelina Malembeka Mbunge wa viti maalum kamuuliza Waziri wa Katiba na Sheria Mwakyembe kuwa ‘adhabu inayotolewa kwa watu wanaolawiti watoto nchini adhabu imekuwa kifungo cha maisha, kwanini wahusika wasihasiwe ili wasirudie vitendo hivyo’

‘Takwimu ya matukio ya ubakaji na ulawiti kwa miaka miwili iliyopita? na takwimu ikoje kwa miaka miwili iliyopita?’

Majibu yote nimekusogezea kwenye hii video ya dakika tatu…
Credit:Millard ayo

No comments: