Wajumbe wa Kamati ya Mawasiliano na ujenzi ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar, wakiangalia uharibifu wa Barabara ya Kangagani iliojengwa na Kampuni ya H/YOUNG na kufanyiwa matengenezo na Kampuni ya MECCO
Wajumbe wa Kamati ya Mawasiliano na ujenzi ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar ,wakiangalia uharibifu wa Barabara ya Kangagani iliojengwa na Kampuni ya H/YOUNG na kufanyiwa matengenezo na Kampuni ya MECCO
Wajumbe wa Kamati ya Mawasiliano na Ujenzi ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar, wakipata maelezo ya uharibifu wa Barabara ya Kangagani kutoka kwa Mhandisi wa TANROADS, Godson Michael ,iliojengwa na Kampuni ya H/Young na kuikabidhi kwa Serikali muda mfupi na kuharibika.
Naibu Katibu mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Usafirishaji wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Shomari Omar Shomari,akitowa maelezo juu ya matengenezo hayo ya barabara hiyo, kwa Wajumbe wa Kamati ya Mawasiliano na Ujenzi ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar huko katika Barabara ya Kangagani Pemba.
Mwenyekiti wa Kamati ya Mawasiliano na Ujenzi ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mheshimiwa Hamza Hassan Juma, akiongea jambo na Wajumbe wake baada ya kubaini uharibifu wa muda mfupi wa barabara hizo zilizojengwa na Kampuni ya H/Young ambazo zilifadhiliwa na MCCA.
Bara bara ya MECCO, ambayo imejengwa kwa kiwango kilichoiridhisha Kamati ya Mawasiliano na ujenzi ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar , ikiongozwa na Mheshimiwa Hamza Hassan Juma.
PICHA ZOTE NA BAKAR MUSSA –PEMBA.
No comments:
Post a Comment