Team ya Vijimambo ina mpa hongera Bi Marcela Wambura ambaye amepata nondo ya bachelor of science in nursing (BSN) katika chuo cha stratford kilichopo katika jimbo la Virginia nchini USA
katika picha juu na chini Bwana na Bi Wambura wakipata ukodak na familia yao
3 comments:
Hongera sana dada Marcela. Haya ndio mambo ya maendeleo tunataka kusikia DMV. Akina dada DMV angalieni mfano huu wa kutumia muda wenu kusoma ili muendelee kimaisha, sio kutumia muda kutukanana facebook na instagram.
Hongera sana,haya ndio mambo ya maendeleo tunayotaka kuona na kusikia especially kwa wanawake badala ya dramas,WANAWAKE TUNAWEZA ,and dont forgot to vote for Hillary Clinton Please
Hongera sana dada Marcella kwa kweli hiyo ni hatua kubwa sana katika maisha. Naunga mkono maneno ya mdau aliyetangulia na comment kwamba wanawake tufanye mambo ya kimaendeleo na siyo kupigana madongo kwenye social media. Big up my sister.
Post a Comment