Advertisements

Tuesday, June 21, 2016

Bi Marcela Wambura akamata nondozz!

Team ya Vijimambo ina mpa hongera Bi Marcela Wambura ambaye amepata nondo ya bachelor of science in nursing (BSN katika chuo cha stratford kilichopo katika jimbo la Virginia nchini USA
 katika picha juu na chini Bwana na Bi Wambura wakipata ukodak na familia yao


3 comments:

Anonymous said...

Hongera sana dada Marcela. Haya ndio mambo ya maendeleo tunataka kusikia DMV. Akina dada DMV angalieni mfano huu wa kutumia muda wenu kusoma ili muendelee kimaisha, sio kutumia muda kutukanana facebook na instagram.

Anonymous said...

Hongera sana,haya ndio mambo ya maendeleo tunayotaka kuona na kusikia especially kwa wanawake badala ya dramas,WANAWAKE TUNAWEZA ,and dont forgot to vote for Hillary Clinton Please

Anonymous said...

Hongera sana dada Marcella kwa kweli hiyo ni hatua kubwa sana katika maisha. Naunga mkono maneno ya mdau aliyetangulia na comment kwamba wanawake tufanye mambo ya kimaendeleo na siyo kupigana madongo kwenye social media. Big up my sister.