Wabunge wa Kambi ya Upinzani Bungeni leo wametumia mtindo mpya kueleza hisia zao baada ya kuamua kutoka kwenye ukumbi wa Bunge wakiwa wamejifunika midomo kwa karatasi.
Hii ni wiki ya pili mfululizo wabunge hao wamekuwa wakitoka bungeni baada ya kutangaza kutohudhuria kikao cha bunge kinachoongozwa na Naibu Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson.
Mbunge wa Vunjo (NCCR-Mageuzi), James Mbatia amesema wameamua kutumia mtindo huo mpya kwa sababu Bunge limekataa kuwasikiliza hoja zao.
5 comments:
Plastic kitu gani? Kama kweli wapo serious kwanini hawakuweka gundi kwenye hiyo midomo yao?
Good. Less noise
Esta es una casa de locos y locas.
Siku nyingine nitaarifuni roughly two hours before ili nikuleteeni super glue za bure, zikusaidieni kufunga madomo yenu kwa uhakika zaidi. We're sick and tired of your oral diarrhea!!!
na kweli..mimi naona wanafanya tuvit vya kitoto
VERY CHILDISH, CHEAP AND SADDENING. WALISOMA SHULE GANI HAWA? IS OUR EDUCATION SYSTEM SO INFERIOR THAT WE PRODUCE SUCH IGNORANT POLITICIANS? WHAT MESSAGE DOES SUCH BEHAVIOR CONVEY TO MY "DARASA LA KWANZA" SCHOOL CHILDREN? SHAME ON YOU BONGO POLITICIANS!
Post a Comment