Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM, leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, pamoja na mambo mengine, Kikao hicho kimejadii na kupitisha kuwa Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utafanyika Julai 23, 2016, ambapo mkutano huo unatarajiwa kumchagua Rais Dk. John Magufuli kuwa Mwenyekiti mpya Taifa.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM, leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, pamoja na mambo mengine, Kikao hicho kimejadii na kupitisha kuwa Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utafanyika Julai 23, 2016, ambapo mkutano huo unatarajiwa kumchagua Rais Dk. John Magufuli kuwa Mwenyekiti mpya Taifa. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula na Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.
Hii ndiyo taarifa rasmi kama ilivyotolewa na Msemaji Mkuu wa CCM, Christopher Ole Sendeka, baada ya Kikao hicho cha Kamati Kuu ya CCM, kilichofanyika leo, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Picha zote na Bashir Nkoromo, Kwa picha nyingine kem kem za kikao hicho>BOFYA HAPA
2 comments:
Makubwa haya!!!...CCM wao wanaruhusiwa kufanya mikutano yao bila tatizo lolote,lakini wengine wamepigwa marufuku hata kufanya mikutano yao ya ndani??? kweli siasa za Afrika bado sana.!! Halafu watu wakianza kuchinjana tutalaumu mataifa ya magharibi????..
CCM hawafanyi mikutano ya kiharakati,uchochezi n.k.Unapokuwa na katibu mkuu wa chama anatishia uwepo wa Alshabab kama kama hazina yake unategemea nini?unapokuwa na chama ambacho kimekataa kujipambanua na uamsho na Alshabab unategemea nini?
Post a Comment