Advertisements

Monday, June 20, 2016

MISA YA KISWAHILI BALTIMORE, MARYLAND MAALUMU KWA SIKU YA KINA BABA DUNIANI

Gervas Wambura na mdhamini wa pendo lake wakiwa kwenye ukumbi wa chakula baada ya misa ya Kiswahili kumalizika siku ya Jumapili ikiwa ni sehemu ya maadhimsho ya siku ya kina baba Duniani.
Waumini wa misa ya Kiswahili wakijumuika pamoja katika kanisa la Mt. Edward Baltimore, Maryland siku ya Jumapili June 19, 2016 katika kuadhimisha siku ya akina baba Duniani.
Waumini wa misa ya Kiswahili wakijumuka pamoja katika ukumbi wa chakula siku ya Jumapili June 10, 2016 katika kanisa la Mt. Edward Baltimore, Maryland kuadhimisha siku ya akina baba Duniani.
Waumini wa misa ya Kiswahili wakiwa katika ukumbi wa chakula baada ya misa kupata chakula kuadhimisha siku ya akina baba Duniani iliyofanyika siku ya Jumapili June 19, 2016 katika kanisa la Mt. Edward Baltimore, Maryland. Picha na Aloyce Mbullu mwakilishi wa Vijimambo Maryland.

No comments: