Advertisements

Monday, June 27, 2016

NEW YORK JIJI LISILOPATA USINGIZI

 Usiku wa Jumamosi June 25, 2016 jiji lisilolala New York City kutoka kushoto ni Diana, Jecha na Irene wakipata ukodak moment kama walivyokutwa na kamera ya Vijimambo ndani ya club moja jijini New York.
Siku ya Jumatatu June 27, 2016 kushoto ni Diana na Bahia (kati) wakisaidia kutoa maelekezo kwa NY Ebra alipopita Ubalozi wa Tanzania umoja wa Mataifa jijini New York.
 Jiji lisilolala na vyakwangua anga vinavyoonekana siku ya Jumapili June 26, 2016.
 Jiji lisilolala katika picha huku jengo mbadala la twin tower lililojengwa kama kumbukumbu ya 9/11.

No comments: