Advertisements

Saturday, June 25, 2016

Reggae Time ya Time Fm, Juni 25 2016....Ujumbe katika Muziki wa Reggae

Katika kipindi hiki, niliungana na mwenzangu Kokuberwa Mushala na kilizungumzia UJUMBE katika muziki huo

Kipindi cha REGGAE TIME kutoka Pride Fm Mtwara Tanzania hutayarishwa na kutangazwa na Mubelwa Bandio
Husikika kila Jumamosi kuanzia saa tisa kamili alasiri kwa saa za Afrika Mashariki
Radio hii yasikika duniani kote kupitia tovuti www.878pridefm.com na kwa walio Marekani na Canada wanaweza kuisikiliza kwa kupiga namba 832 280 0658
Ama kupitia TuneIn tun.in/seTTx

No comments: