Sunday, June 12, 2016

SHEREHE YA KUMPONGEZA MARIA MWINGIRA KWA KUHITIMU CHUO NEW YORK

Maria akiwa kwenye meza kuu na marafiki zake siku ya kumpongeza kwa kuhitimu chuo na kumeza nondo ya Bachelor of Science in Accounts and Finance. Sherehe hii ya kumpongeza iliandaliwa na mama yake mzazi. Mama alianda sherehe hii na kuwakaribisha ndugu na marafiki pamoja na  wafanyakazi mwenzake. Pongezi kwa mama Maria kwa kuandaa sherehe mzuri iliyofana vilivyo kwa chakula, vinywaji na muziki.

Maria katikati akipata ukodak na marafiki zake, Kwa picha zaidi jipakulie mwenye kwa kwenda soma zaidi.

Mama akiongea maneno machache pembeni yake mwanae Maria akimsikiliza.

MC akiwatangazia ratiba mzima ya jinsi mambo yatakavyo endelea ukumbuni hapo


Mwenyekiti wa NYTC ambae ni kaka mkubwa wa Maria akitoa nasaha zake
Muda wa kukata keki uliwadia.

Wageni waalikwa wakiwa kwenye ubora wao ukumbini hapo.


Muda wachakula

Maria akiwafungulia wageni kuchukua 

Mama na mwana wakifungua muziki ukimbini hapo




Muda wa kutoa zaiwadi

Mama akiwafungulia wageni kutoa zawadi

Kaka mkubwa wa Maria akitoa nasaha zake kwa dada yake na pembeni ni wadogo zake wakimsikiliza kaka.


Watu kupata ukodak wa kumbukumbu ukimbini hapo.

Muziki ulianza kwa wote .

1 comment:

Anonymous said...

Proud mother,congratulations baby girl