ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, June 29, 2016

SHOGA GODFREY MAJUNGA ALIEZUA JAMBO CLOUDS

Sijui nianzaje ila dunia imeisha, Zamaradi anamuhoji shoga anaitwa Kaoge, Pamoja ni ngumu kuaangalia ila kunafunzo la kujifunza kwa watoto wetu wa kiume tunavoweza kuwalea watoto wetu.
 Mashoga wanaongezeka kwa kua waaribifu ni wengi na wengi ni watu wazito. Shoga anatamani kuzaa anataka kupandikiza na yupo kwenye harakati za kubeba mimba 
 Alikua anaitwa mwanamke tangu mdogo na baba yake na mitaani alikua anaitwa gody ka demu, Kiukweli wanaume tusifumbie macho ili swala malezi ya karibu zaidi tangu utoto ndio tunaweza kupiga vita USHOGA. Na si matusi kipigo na unyanyapaaji

6 comments:

Anonymous said...

clouds acheni kupromote hivi vitu ni agaist na mila zetu, mnavyoonyesha au kuhoji mtu anaekwenda kinyume na sheria ya nchi, mnataka kutuambia nini? au ni kwasababu mko juu ya sheria? jirekebisheni na angalieni vitu vinavyoelimisha jamii na sio kupotosha jamii, thx

Anonymous said...

Mungu tusamehe na utusaidie baba tufunike na wanetu,

Anonymous said...

Hivi kweli mmekosa vitu vya kutangaza jamani? Mbona msiongelee Masikini vijijini, watoto yatima au walioadhirika, nk jinsi ya kuwasaidia. Hawa mashoga mnawapromote ni hatari kwa kizazi hiki mjue ni laana inashika hata vizazi vijazo. Wapo watakao ona ni safi sana kupitia ujinga huu..

Anonymous said...

Mila hubadilika, na kila mtu mwishowe huwa na maamuzi yake binafsi ambayo lazima yaeshimiwe.Mtu akiamua kufanya ushoga hamna mtu mwenye haki yoyote ile kumzuia, sheria za nchi yetu na baadhi ya nchi nyingine za Kiafrika haziendani na uhalisia wa karne ya ishirini na moja. Kijana huyu ana haki yoyote kamaa raia wa nchi, acheni unafiki na ujinga wa kuingilia maamuzi binafsi ya mtu. Si kila mtu anaamini masuala ya dini na uwepo wa sheria kutoka kwa "mungu".

Anonymous said...

Unaitaji maombi ya dini yako husika,inaonekana mambo ya dunia yamekukamata vibaya.

Anonymous said...

Hili tatizo lipo na halitaondoka kwa sisi tu kunyamaza, kufumba macho au kuziba masikioni yetu na kujifanya hatujui uwepo wake. Wazazi wengi walijaribu kukwepa kuzungumzia swala la ukimwi na watoto wao, lakini tatizo halikuondoka na liliendelea kuangamiza vijana bila simile. Ni bora tu likazungumzwa kwa uwazi na kutafutiwa njia ya kujinusuru nalo, kama ipo. Nguvu ya hili wimbi ni kubwa. Ni swala tu la muda, tutajikuta tunabwaga manyanga bila kuwa tumejiandaa psychologically!