Advertisements

Saturday, June 25, 2016

TANGAZO LA KISOMO NA FUTARI YA PAMOJA DMV- LEONdugu Zetu Habiba Jetha na Farida Jetha wanatualika kwenye Kisomo cha Hitima cha

kuwaombea Marehemu Baba Yao Said Jetha Mwanahanji pamoja na Kaka Yao Mohammed Said

Mwanahanji, Kitakachofuatiwa na Futari ya Pamoja.

Futari itaandaliwa na Farida Catering.

Siku ya Jumamosi June 25, 2016

Kuanzia Saa Moja na Nusu jioni hadi Saa Nne usiku (7:30PM – 10PM)

Anuani:

Indian Spring Terrace Local Park

9717 Lawndale Dr.

Silver Spring, MD  20901

Kama Ilivyo ada, tunawaomba WaTanzania wote tujumuike Nao.

Ukipata Taarifa hii Mjulishe Mwenzio.

Kwa Taarifa Zaidi Wasiliana na

Habiba Jetha 240-778-7567

Farida Jetha 240-593- 7370

Jabiri Jongo 240-604- 0574

Ali Mohammed 301-500- 9762

Shamis Abdullah 202-509- 1355

Asha Hariz 703-624- 2409

Karibuni Wote na Tunatanguliza Shukran za dhati.

No comments: