Wawekezaji awaoni faida kuwekeza kenye timu za Yanga na Simba kwa kuwajengea uwanja baada ya kuona umati huu wawapenda mpira kupitia timu za Yanga na Simba?.
Jitiririshe taswira ya uwanja wa Taifa kati ya Yanga na Mazembe na utajua kuwa Yanga na Simba ndiyo zina beba soccer la Tanzania. Pichaa kwa hisani ya MafotoBlog.
No comments:
Post a Comment