ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, June 26, 2016

WAENDESHA BODABODA NA BAJAJ MTAA WA MASAKI JIJINI DAR ES SALAAM WAANZISHA UMOJA WAO

 Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Masaki, Kimweri Mhita (kushoto), akizungumza na wanachama wa Umoja wa Waendesha Bajaj na Bodaboda wa eneo hilo katika mkutano wa kutambulisha viongozi wa umoja huo baada ya kuchaguliwa Dar es Salaam leo asubuhi.Kutoka kulia ni Mtunza Fedha wa umoja huo, Joseph Asenga na Mwenyekiti, Juma Iddi.
 Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Masaki, Kimweri Mhita (katikati), akisisitiza jambo kwenye mkutano huo. Kutoka kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa umoja huo, George Charles, Katibu Mkuu, Reuben Tanu, Mwenyekiti, Juma Iddi na Mtunza Fedha, Joseph Asenga.

No comments: