Tuesday, June 7, 2016

Will Smith na Lennox Lewis wateuliwa kubeba jeneza la Muhammad Ali

Familia ya marehemu Muhammad Ali imewateuwa wawili hao ikiwa Smith ni rafiki wa karibu wa familia hiyo tangu mwaka 2001 alipoigiza filamu ya iliyokuwa inamhusu marehemu Ali. 
Staa wa filamu nchini Marekani, Will Smith na bingwa wa ngumi wa dunia, Lennox Lewis wameteuliwa kuwa miongoni mwa watu watakaobeba jeneza la marehemu Muhammad Ali siku ya mazishi.
Will Smith (kulia) kwenye filamu aliyoigiza maisha ya Muhammad Ali

Kwa upande Lewis ameteuliwa akiwa ni mmoja kati ya mabondia watatu waliowahi kuchukua ubingwa wa dunia mara tatu akiwemo na marehemu Ali.

Bondia wa Uingereza Lennox Lewis akiwa na Muhammad Ali

Muhammad Ali alifariki Juni 4 kwenye hospitali ya huko Phoenix ambako alikuwa akitibiwa kutokana na matatizo ya kupumua na mazishi yake yanatarajiwa kufanyika Ijumaa hii huko 

No comments: