Advertisements

Saturday, July 9, 2016

BREAKING NEWS: MWANDISHI MAJIRA AFARIKI GHAFLA

MWANDISHI wa habari za michezo na burudani wa gazeti la Majira, Elizabeth Mayemba amefariki dunia usiku wa leo baada ya kuanguka ghafla nyumbani kwake Tabata jijini Dar es Salaam.

No comments: