Advertisements

Friday, July 8, 2016

CHAI BAADA YA SALA YA EID

 Missy Temeke akiwa na wageni wake baada kwa ajili ya chai asubuhi ya siku ya  Eid baada ya kutoka kwenye sala ya sikukuu hiyo iliyofanyika siku ya Jumatano July 6, 2016 Silver Spring, Maryland nchini Marekani.

Kushoto ni Missy Temeke akiwa katika picha ya pamoja na wageni wake Aunty Asha na mume wake na kulia ni Dj Moe.
 Wageni wakipata chai na machopochopo kibao.

Chai ikiendelea.
Kushoto ni Aunty Asha katika picha na Missty Temeke
 Aunty Asha na mumewe.
 Picha ya pamoja.

No comments: