Advertisements

Sunday, July 31, 2016

DJ RACHY KUTTY KUZIKWA LEO JUMAPILI

Marehemu Raphael Chambo  kwa jina maarufu ni Dj Rachy Kutty Amefariki Dunia Alfajili Ya Ijumaa July 29, 2016, msiba upo Nyumbani Kwa Dada Yake Sinza Karibu Na Vatican.

Marehemu Raphael Chambo atazikwa leo Jumapili July 31, 2016 makaburi ya Buguruni Malapa mara tu baada ya misa na kuangwa kwa mwili wa marehemu katika Kanisa la Mt. Alban lililopo posta mpya jijini Dar.

Ratiba 
 R.I.P DJ

2 comments:

Chezimba Jr. said...

I am so shocked with this sad news. R.I.P Raphael Chambo aka Rachy Kutty.

Chabicheka said...

Duh.. Quite shocked!!! Inaaillahi waina illahi rajiouun!! Rest in Peace my friend Kindande..