Assalamu Alaykum Wa Rahmatullaahi wa Barakaatuhu
Uongozi wa Tanzanian Muslims Community of Washington DC Metro (TAMCO), Una Furaha
Kuwakaribisha WaTanzania Wote katika Sherehe za Eid El Fitr, kuadhimisha Kumaliza kwa Mwezi
Mtukufu wa Ramadhani.
Wednesday July 6, 2016
Chai ya Asubuhi ya Pamoja, Baada ya Salat El Eid
Kuanzia Saa Nne Asubuhi – Saa Sita Mchana 10AM-12PM
Sherehe za Eid za Jioni
Kuanzia Saa Kumi na Mbili Jioni Mpaka Saa Nne Usiku 6PM-10PM
Sligo – Dennis Avenue Local Park
10200 Sligo Creek Pkwy
Silver Spring, MD 20902
Kwa Taarifa Zaidi Wasiliana na:
Ali Mohamed 301-500- 9792
Asha Hariz 703-624- 2409
Shamis Al Khatry 202-509- 1355
Iddy Sandally 301 613 5165
Asha Nyanganyi 301 613 5165
No comments:
Post a Comment