Advertisements

Tuesday, July 5, 2016

EID EL FITR ITAKAYO FANYIKA 30 OVER HILL RD, MOUNTVERNON NY,11552 SIKU YA JUMA TANO TAREHE 6 JULY 2016 KUANZIA SAA KUMI JIONI.


TUNA WAKARIBISHA WATANZANIA WOTE NA FAMILIA ZAO KWENYE SHEREHE YA EID EL FITR ITAKAYO FANYIKA 30 OVER HILL RD, MOUNTVERNON NY,11552 SIKU YA JUMA TANO TAREHE 6 JULY 2016 KUANZIA SAA KUMI JIONI. KUTAKUWA NA VYAKULA HALAL NYAMA CHOMA MICHEZO YA WATOTO PAMOJA NA SWIM DOGO LA WATOTO NA MENGINE MINGI,KATIKA SHEREHE HII HATURUHUSIWI KILEVI CHA AINA YOYOTE UKIPATA TANGAZO HILI TAFADHALI MUARIFU NA MWENZAKO WOTE MNAKARIBISHWA ASANTENI NA KARIBUNI.

KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NAKUPITIA #, 
AMIR # 551-358-2719 NA SEIF AKIDA # 917 557 3195

3 comments:

Anonymous said...

ahsanteni sana waandaji wote wa sherehe hii Allah akujaliyeni kila la kheir.na nimefurahi mlipo weka mkazo hakuna kinywaji cha ulevi cha aia yeyote.Alhamdulillah rabbi laalamin.nimeipenda sana kauli hii.Allah ma barik.
eid Mubarak .dj luke thanks for this tangazo

Anonymous said...

chai ya asubuhi pia tunakuja huku over the hill 30?

Anonymous said...

Tutaweka kwenye Trunk sio issue